EXCLUSIVE: HIZI NDIYO PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA, BAADA YA KUFARIKI GHAFLA LEO HII
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.
...Msanii
aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado
iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama
Ngoma leo mchana huu.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni