HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIES ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO YA MPENZI WAKE KATIKA SEHEMU NYETI..!! TAZAMA HAPA

Baada
ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika
kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi
wake ambaye hakutaka kumtaja.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12
mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda
kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano
wa mchumba’ke.
“Tatuu zina maana lakini moja nimemchora mpenzi
wangu na hata nikikutana na mwanaume yeyote anajifanya ananihitaji ajue
kabisa ninaye nimpendae zaidi kwani tatuu hii siwezi kuifuta,” alisema
Lungi ambaye amechafuka tatuu katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye
titi, paja na kiuno
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni