EXCLUSIVE: CHRIS BROWN KUTUA BONGO KWENYE SERENGET FIESTA
Habari
zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yale
nyota waR&B anayedwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake
umeweza kuongezeka mara dufu kutokana na kutoka kimapenzi na Rihanna ...
Ambapo wabongo wameweza kufananisha mapenzi ya Diamond na Wema Sepetu
ni kama Chris na Rihanna.. Sasa unaambiwa Mazungumzo ya mwisho ya
kukubaliana ndio yanafanyika na
pia kama watakubaliana vizuri Chris Brown kutua Bongo bila utata hiyo .. Na kiingilio kikiwa sh elfu 50 wala msishangae
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni