PICHA:KASIM MGANGA ATOA BURUDANI YAKUFA MTU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula
“Asante mama Ribelata Mulamula ,balozi wa Tanzania Marekani,asante Muheshimu Razalo Nyalandu..it waz big thing….pamoja tumefanikisha..Tanzania mbele daima,” ameandika Cassim kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Cassim akiwa na wadau mbalimbali akitoa burudani







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni