vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Ijumaa, 2 Januari 2015

Martin Kadinda na Aunty Ezekiel Wanaswa Katika Pozi Tata Wakiwa Ukumbini

Martin Kadinda na Aunty Ezekiel Wanaswa Katika Pozi Tata Wakiwa Ukumbini

Wema Sepetu kushoto , kulia ni Aunty na Martin Kadinda Wakifanya yao

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata.Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Klabu ya 71, Tegeta-Kibaoni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuukaribisha mwaka iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame.

“Mh jamani huyu Aunt si ana mume? Halafu si ana kibuzi chake kingine? Huyu Martin naye imekuwaje tena,” alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.

Alipoulizwa Aunt kuhusu tukio hilo, alisema wamekumbatiana kirafiki tu na si wapenzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni