vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Ijumaa, 9 Januari 2015

You Heard: Husein Machozi Adaiwa Talaka na Mke wake Aliyemuoa Mombasa Kwa Siri

You Heard: Husein Machozi Adaiwa Talaka na Mke wake Aliyemuoa Mombasa Kwa Siri

Mwishoni mwa mwaka jana Husen Machozi alihojiwa na Gossip Cop Soudy Brown juu ya picha zilizo enea kwenye mitandao ya kijamii zikimwonyesha akiwa kwenye tukio linalofanana kwa asilimia mia moja na ndoa.

Husen Machozi alikanusha tetesi hizo na kudai kuwa zile picha zilikua za movie aliyokodiwa kuigiza.

Sasa juzi kwenye kipindi cha XXL Segment ya You Heard mwanadada huyo alionekana kwenye picha anaolewa amejitokeza na kudai kuwa aliolewa kweli na anadai talaka yake kutoka kwa Mwanamuziki Hussein Machozi baada ya Hussein Machozi Kumkimbia na Kuanza kutanua na Wanawake wengine na kufikia hata kumtumia akiwa na hao wanawake zake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni