vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumanne, 19 Mei 2015

Picha: Siku Mashetani Yangu Yakinipanda Nitawambia Kitu-Kitale


Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES  mtandaoni. Hawa ni mastaa wa hapa Bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.

Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.

Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la COUPLE.

Kiufupi kila mtu aliandika lake lakini hadi sasa Kitale hakujibu komenti hata za mashabiki hao, tuendelee kuisubili hiyo siku mashetani yake yakimpanda

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni