vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Ijumaa, 12 Juni 2015

Diamond Platnumz Ajitolea kuwafanyia Video kubwa Yamoto Band Kwa Godfadher


Diamond Platnumz Ajitolea kuwafanyia Video ya Gharama vijana wa Yamoto Band, Video ya wimbo wao mpya ambao umefanywa na Mensen Cheza kwa Madoido Video yake itafanyika Johannesburg na Director mkubwa wa SA Godfadher .

Vina wa Yamoto Band wanataraji kupanda pipa J3 Kuelekea SA kwa ajili ya video hiyo ambayo itafanyika J4 na kuungana na Diamond ambaye watamkuta huko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni