Kwenye mashindano lazima patakuwa na mshindi wa pili na watatu na
kukubali kuanguka ni kawaida, ila kuamka baada ya kuanduka ndio kazi
yenyewe ambayo kwa sasa Diamond anafanya kwa kutoa kazi ambayo yeye
anaimani ni bora zaidi baada ya kupoteza tuzo ya BET kwa msanii Black
Coffee wa Afrika Kusini.
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter:
"Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku nne simba Anaachia ile Mashine"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni