vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 17 Machi 2014

HIKI NDO USICHOKIJUA KUHUSU NGOMA MPYA YA BLACK RYHNO FT NGWAIR – LOOKIE LOOKIE ITAYOTOKA HIVI KARIBUNI

Hii ni Cover ya Nyimbo mpya kutoka kwa Black Ryhno ft Ngwair – “Lookie Lookie”, nyimbo hiyo ikiwa imefanyika kwa producer Mbezi.

Producer Mbezi alifuguka juu ya Collabo hii ya Ryhno na  Marehemu Albert Mangwair kuwa “Hii ni track ya mwisho ambayo ilikuwa ni collabo la mwisho kiukweli alilofanya Marehemu Ngwea kabla hajasafiri kwenda South”  alisema Mbezi.
Producer Mbezi aliendelea kufunguka kua Ngwair alimwandikia ujumbe katika Twitter (siku mbili kabla ya marehemu Ngwair kufariki )  kua wafanye kila njia ili akija bongo washut ngoma hiyo ili aonyeshe unyamwezi wake na Black Rhyno, Kifupi ni kua alikua na furaha sana kufanya ngoma na Black kwani katika miaka yote ya nyuma hawakuwahi kufanya ngoma ya pamoja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni