MWANAMUZI NAZIZI AKANUSHA KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA PRODUCER WA TANZANIA
Week iliyopita kulikuwa na Habari kuwa Mwanamuziki Nazizi kutoka Kenya Ambae Pia ni Couzin ya Mwanamuziki wa Bongo Flava Jaffaray kuwa anatoka kimapenzi na Producer wa Muziki Mmbongo ambaye anafanya kazi Huko Nairobi Kwa Jina la Sappy ....Baada ya Habari hizi Nazizi Amejitokeza na kusema kuwa toka aachana na Mume wake hajawahi kuwa mapenzini na mtu yoyote ..japo ana marafiki wengi wavulana na amepiga nao picha nyingi ikiwemo hizo alizopiga na Sappy...Na amesema msishangae zikatoka picha nyingine zaidi akiwa na marafiki zake wa kiume...-John K
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni