PENZI LA MR BLUE LAENDELEA KUMTESA NAJ
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi
nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya
Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana na Mwanaume na
wala hajawahi kumpenda mwanaume yeyote, Naj amefunguka hivi karibuni
kabla hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia kuwa alikua na Mr Blue kwa
miaka mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa na Blue akamkana hadharani
na kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine hali iliyomhuzunisha na
kujutia muda wake, Naj akamalizia kwa kuniuliza Je angeutumia muda huo
kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo sasa hivi anacho angalia
ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko singoooooooooooooo,
Mr Blue na Naj
Mr Blue aliachana kwa mbwembwe sana na Naj, kwanza alitokea katika front page ya Gazeti La babkubwa akiwa na Naj na toleo lililofata akatokea katika front page ya Gazeti hilohilo akiwa na mama mtoto wake Wahida kipindi hiyo ana ujauzito wa mtoto wao Sameer
Mr Blue na Wahida
Mama wa mtoto wa Mr Blue Wahida akiwa na Mtoto wa Sameer, wote wanaishi ndani ndani ya Nyumba Moja

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni