BAADA YA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE SASA MADEE AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni