BREAKING NEWZZZZZ!! MWIGIZAJI MAARUFU WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA!!
Kwa Habari zilizotufikia Hivi Punde mwingizaji huyu maarufu anayejulikana kwa Jina la ADAM PHILLIP amefariki Dunia muda mchache ulipita... chazo cha taarifa hii tumeipata kupitia ukurasa wa Zamaradi Mkitema kaa nasi kwa Taarifa zaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni