HATIMAYE UWOYA ATHIBITISHA KUA ANA MAHUSIANO NA DOGODOGO MSAMI. SOMA ALICHOKISEMA HAPA

Hatimaye Actress wa Bongo Movie Irene Uwoya leo kupitia You Heard ya XXL
Clouds fm amethibitisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa
Bongo Flava Msami, Irene Uwoya anadai mahusiano yao yana muda mrefu na
hategemei kuachana nae kwa sababu anampenda sana,

nilipomuuliza kama
anafahamu kuwa Msami alikua na Girlfriend ambaye wameachana kwa sababu
yake yeye uwoya, mwanadada akacheka na kusema haijalishi akaongeza kuwa
anampa Msami kila kitu na mahusiano yao ni ya kudumu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni