HUU NDO UFUSKA WA MASTAA BONGO YANI HUWEZI AMINI KAMA WAO NDO WANAFANYA. CHEKI PICHA HAPA
NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo
vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili.
Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza.
Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya
Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto
wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.Likishuhudia tukio hilo, Ijumaa Wikienda ambalo lilijipenyeza ndani ya nyumba, lilifuatilia kila aina ya tukio huku likifikisha ripoti kwa mkuu wake ambaye alikuwa ofisini akipokea matukio ya Live Dijitali.
Ndani ya ukumbi huo lilishuhudia laana za aina yake ambazo zilikuwa zikiongozwa na mwenye shughuli ambaye alikuwa akikata mauno ya ajabu kwa staili ya ‘baba na mama’ chumbani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni