HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIES ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO YA MPENZI WAKE KATIKA SEHEMU NYETI..!! TAZAMA HAPA
“Tatuu zina maana lakini moja nimemchora mpenzi wangu na hata nikikutana na mwanaume yeyote anajifanya ananihitaji ajue kabisa ninaye nimpendae zaidi kwani tatuu hii siwezi kuifuta,” alisema Lungi ambaye amechafuka tatuu katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye titi, paja na kiuno
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni