JAQCLINE WOLPER AWEKA KILA KITU CHAKE WAZI KUMUHUSU YEYE NA NEY WA MITEGO!!
Jackline Wolper amefunguka kuhusiana na moja ya shutuma
zinazoendelea kumkabili kila anapoamka. Mdada huyo mwenye kujituma sana
amefunguka kuhusu shutuma za kumuhusisha yeye na msanii mkali wa Hiphop ,
Ney wa Mitego. Mwanadada huyo akiongea na Vibe Tanzania alidai hajawahi
kuwa hata na number ya Ney wa Mitego sasa akisikia kwamba ana mahusiano
na mwana Hiphop huyo anashangaa sana kwani hata hajui maana halisi ya
kuzagaa kwa maneno hayo yasiyo na maana wala source.

Wolper aliendelea kufunguka kwamba hayuko tayari kusikia uzushi huu ukiendelea na wala hatowaacha wanaosambaza umbea huu kwani hajui nia yao. Msanii huyo amekua akiandamwa na romours moja baada ya nyingine kwani alipewa scandalz ya kusagana kabla haijapotea imeingia ya Ney wa Mitego huku Wolper huyo huyo akihusiswa kuwa na mahusiano na G model.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni