Jina Kabula Amteka Kimapenzi Madee Wanaongozaja kama Kumbi Kumbi
Siku za Karibuni Mwigizaji wa Sinema za Kibongo Jina kabula inasemekana
amelinasa penzi la Mwaimbaji maarufu wa Bongo Flava Madee , Habari
zilizozagaa ni kuwa huwa jamaa wanaongozana kila mahali kama kumbi kumbi
iwe shopping kwenye maduka na hata sehemu za kuogelea...Baada ya Madee
kutafutwa amekana tuhuma hizi na kusema kuna kazi wanafanya pampja ndio
maana wanatembea wote kila mahali ...Jina kabula Aliwahi kutoka na
Tuesday mwigizaji mwenzake ni walipata mtoto pia siku za karibuni
alikuwa anatoka na Bushoke
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni