MHHH....!! JACKLINE WOLPER AMPIKU AGNESS MASOGANGE KWA PEDESHEE WA KIHINDI, NI YULE ALIYETOA MILIONI 40 KWA AJILI YA KUMCHUMBIA MASOGANGE
Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange |
Agness Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi. |
Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange hapa nyota huyo akionekana akiwa amelewa uso unamaAjibu kwani hilo sio pozi la kawaida la mdomo kuubetua kiasi hicho. |
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni