MWILI WA ADAM PHILIP KUAMBIANA WATOLEWA MUHIMBILI, KULALA KWAKE BUNJU LEO
\Mwili
wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari la kubebea maiti baada
ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa nyumbani kwake, Bunju, Dar
ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja vya Leaders na kuzikwa
Kinondoni, kesho.
Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.
Waombolezaji
wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana
kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni