Instagram:Kumbe Issue ya Kajala kutoka na CK ilitungwa, Message za Naima Zakamatwa
Maskini Kajala Kumbe ile issue ya Kutoka na CK ni Uongo, Duuh Kama
hizi Message ni za Kweli Nampa Pole Kajala cozi Watu wengi walikuwa
wanamfikiria Vibaya na Kumtukana..
Jisomee mwenyewe hizo Message za Naima na Rafiki yake wakichat kuhusu Kajala:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni