TAZAMA GARI NA NYUMBA MBILI ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI MASANJA MKANDAMIZAJI !!!! NOMA SANA….
Masanja Mkandamizaji si jina geni
masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu
watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.

Wakati anaanza maisha masanja alikua
akikaa kwenye ‘geto’ lake maeneo ya Tabata Aroma huku akilipa kodi ya
TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo masanja anamiliki nyumba mbil iza
ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa maeneo hayohayo ya Tabata na pia
anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.
PROPS : VIBE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni