Vitu vitano katika maisha ya shilole vinavyompa raha…
Vibe Magazine ilipata nafasi ya kungea mawili matatu na mwanadada shilole juu ya mambo kadhaa yaliyowahi kumfurahisha katika maisha yake.Mambo hayo ni kama ifuatavyo :-1. Siku nillipopata mtoto wangu wa kwanza, kwa kweli nilikua very happy kwani ni kitu kizuri kwa mwanamke , na kwa kweli ni kitu ambacho siwezi kusahau maishani mwangu kwani nilikua bado mdogo sana.
2. Kitu kingine, kuzaliwa mwanamke kwangu ni kitu kizuri sana kwani inanirahisishia kufanya mambo yangu mengi , najisikia raha sana kua mlezi kwa kweli.
Shilole
4. Kupata nyumba yangu mwenyewe pia ni kitu cha kujivunia, kwani najua kule nilikotoka kwa kweli. So , i am happy for what i have now.
5. Kuanzisha restaurant yangu ni kitu kinachonifurahisha sana coz ninaishi ndani ya ndoto yangu kwani nimeuza sana samaki na maandazi ya kutembeza na sasa nauza bado lakini kwa style ya maendeleo zaidi.
Shilole
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni