vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumanne, 24 Juni 2014

BABY MADAHA LAZIMA ATAKUA ANAVUTA BANGI AISEE, HIKI NDO ANACHOTAMANI KUA!!!!

BABY Madaha mwigizaji wa kike wa filamu Bongo amejinadi kuwa yeye ndio atakuwa Rais wa kwanza wa kike Tanzania, na ili kufanikisha ndoto yake hiyo yupo katika Chuo kikuu huria akisoma masomo ya siasa na amalizapo tu ataingia moja kwa moja katika kinyang’anyiro cha Urais.

Baby Madaha akiwa katika pozi
Baby Madaha akiwa katika pozi
Baby Madaha
Baby Madaha Rais wa kesho
“Nimeamua kusoma zaidi hasa siasa kwa ajili ya kugombea nafasi kubwa ya Urais na si Ubunge, najiamini ninachofanya na nahitaji mambo makubwa zaidi ya hapa nilipo, nitakuwa Rais wa kwanza mwanamke kuiongoza Tanzania, nikiwa msanii,”anatamba Baby Madaha.
Msanii huyo hakusita kijibainisha kuwa ni mwanachama wa chama gani aliweka wazi kuwa yeye ni mwanaccm, Baby Madaha anasema nafanya hivyo kwa ajili ya kuwakomboa akina, watoto na wasanii ambao pamoja kazi zao kusifiwa lakini bado wamekuwa wakifa maskini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni