vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 19 Juni 2014

DAYNA AVUNJA UKIMYA KUHUSU KUTOKA KIMAPENZI NA MSHIRIKI HUYU WA BIG BROTHER. SOMA HAPA


Msanii wa muziki wa Bongo fleva Dayna aliye-make headlines na kuzidi ku-hit kwenye tasnia hii ya muziki wa Bongo fleva, hatimaye afunguka kuhusu picha zilizokuwa zinaleta utata kwenye mitandao na Blogs mbalimbali nchini, huku ikibua maswali mengi kuwa wawili hao ni wapenzi au la.”Habari hizo si za kweli, mimi na Nando ni marafiki tu tulioshibana, na ndio maana tumeweza kupiga picha zenye ukaribu namna hiyo, kama ilivyo kwa marafiki walioshibana yeye mara nyingi hunipa kampani, na mimi pia huwa nampa kampani, ila hakuna mahusiano  yoyote ya mapenzi yanayoendelea baina yetu, ni Marafiki tu toka zamani”- alimalizia kufunguka Dayna, kuweka sawa utata wa picha alizoweka kwenye mtandao wa instagram na kuzua utata mkubwa.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni