vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 30 Juni 2014

Diamond Platnumz uso kwa uso na demu wa Chris Brown,
Diamond Platnumz alikutana uso kwa uso na demu wake Chris Brown ajulikanaye kama Karrueche Tran, ambaye ndiye aliyekuwa anamuhoji wakati wa shughuli ndio kwanza zinaanza pale Red Carpet, hii bila kuchelewesha Diamond alibidi afunguke mwenyewe na kumwambia Karrueche kuwa anahamu ya kumuona sana Chris Brown jambo lilomfanya, demu wake Chris afurahi na mwisho wa siku maongezi yalishia kwa picha kali ya Diamond akiwa na mwanamitindo huyo maarufu.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni