vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Ijumaa, 27 Juni 2014

DUH, MSANII BARNABA KWA MARA YA KWANZA WAJA NA HILI WAZO. NOMA SANA

bb 4
 
Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba
Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya bangoooooo. “
b 1 b 2
BOFYA UWE MJANJA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni