vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumapili, 1 Juni 2014

HUZUNI MAJONZI: MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEJpX12M0oIcDPx7cpsgEXnxBhXZCvXTQilIi9KSq3fTVpU-PKy_M-_Kj41oUatX7Pvwi5ZhowCKlpaAJPMBDlJHmnPDZ3OLqTzD0gogZwYBP_2f7_GXQYSejur0NZeGNpDJds7dviwDg/s1600/Mama+Zitto+Clip.jpgNi taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
Screen Shot 2014-06-01 at 12.21.29 PM
Hii ni May 25 2014 wakati Rais Kikwete alipomtembelea mama Zitto ICU kwenye hospitali ya AMI Dar es salaam. 

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni