MUENDELEZO: MAHABA NIUE, Jamaa Ameamua Kujichora TATOO!!!.....Jina la Mama La Mama
SHOCKING!!!Ni zaidi ya mpenz huyu mwanamke ,ni jembe langu ,muongozo wangu ,mtani wangu na kila sifa nzur anastahili katotoo kangu,chochote nkimfanyia nafanya kwa mapenzi,na yeye akifanya chochote kwangu anafanya kwa mapenzi.mnaosema huyu kipenZ changu ni jimama mnapoteza time,na mnaosema mm ni serengeti boy kwa huyu kipenZ changu mnafail,ila ni mapenzi tu yanaongea. Na kama jimama anatambulishwag nyumbani basi saaawa. Kilichonipeleka kwake ni mapenzi tu na yeye mapenzi yamemleta kwangu pia.
Leo hii (sasa hivi) kijana ameamua kujichora TATOO na kuandika SHISHBABY hii ni aka ya MUPENZI WAKE......hehehehe
Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??Baada ya Muda kidogo Mwanamama SHILOLE nae aliweka picha hii na kuandika hivi;
Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ulweli @mziwanda666 @mziwanda666
Neno kwa Kijana PLZ!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni