vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 30 Juni 2014


( New Video) Kala Jeremiah-” Simu ya mwisho” ft. Nay Wamitego & Mo Music
 IMG-20140612-WA0010
Huu ni ujio mwingine wa Kala Jeremiah, kama kawaida yake lazima atoke kitofauti kabisa, hutoweza amini hili kolabo linaweza kutoa nyimbo nzuri ya mapenzi iliyotulia kama hii, si rahisi mtu kuamini kabisa ila hatimaye wamefanya kweli. Hii ni moja ya nyimbo ambazo unaweza kuvuta hisia za Bongo fleva ya enzi za mwalimu, ambapo ilikuwa zaidi ni kuelimisha na sio kusifia zaidi mapenzi kama zilivyo nyimbo nyingi za kipindi cha Jakaya, ni bonge la nyimbo kali yakuelimisha, ikiwa  video hii imesimamiwa na director Pablo chini ya production D360 videos.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni