vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumapili, 29 Juni 2014

PICHA: DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP PARTY


.diaa 
Jana Diamond akiwa na wasanii wenzake wanaowania tuzo katika kipengele cha International Act (Africa) walihudhuria party ya utangulizi (BET Pre Awards VIP Party).
Fally Ipupa aliungana na wasanii wanaowania kipengele kimoja na Diamond ambao ni Davido, Mafikizolo na Tiwa Savage na Sarkodie (hayupo kwenye picha hizi).
ddavidoodiaa diamondtiwa2DAVIDMafiki zoloTIWAFally Ipupa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni