vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumamosi, 28 Juni 2014

UNAFIKIRI JACKY WOLPER AKIVAAJE ANAPENDEZA? KITOMBOY AMA KAMA MSICHANA WA KAWAIDA. TAZAMA PICHA HIZI

1168763_1464540150445548_348401923_n
Kama ukifanikiwa kuifahamu bajeti ya Jacqueline Wolper katika uvaaji wa nguo, kununua viatu au kutengeneza nywele, unaweza ukabaki mdomo wazi kwakuwa hakuna siri ni kubwa mno. Muigizaji huyo wa filamu anaweza kuongoza kwa waigizaji wa kike wanaopigilia pamba zaidi lakini je, anapendeza akivaa kama tomboy ama akivaa mavazi ya kike ya kawaida? Tuambie..
Kama Tomboy
1963172_429730593839750_1850390544_n
10175183_452117338251986_1303209738_n
10375610_499392140162825_1424794051_n
10431850_1488016128101485_1418049472_n
10507920_1470897656486876_1675444702_n
Kama msichana wa kawaida
1516540_1398669370385210_1990469685_n

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni