WOLPER ANENA MAZITO KUHUSU PICHA HII YA UCHI INAYOSEMEKANA NI YA KWAKE
K
Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa
habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko.Lakini
hii kwa Jaqckili Wolper imekuwa tofauti kidogo
baada ya kukerwa na kitendo cha picha ya nusu utupu hapo juu katika
mablog mbalimbali iliyosemekana ni ya kwake.. bila kuchelewa ameama
kufunguka la moyoni kabisa!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni