DUH, ANGALIA BIFU JIPYA OMMY DIMPOZ NA ALLY KIBA. KWELI DIMPOZ NI KIGEUGEU. SOMA HAPA
Kweli mfadhii mbuzi binaadam
atakuuzi wewe ommy D leo ndo wa kumsupport dully na kumuacha Alikiba
aliekutoa na Nai Nai??Ulipokuwa unataka utoke vipi ulitafuta mtu wa
kukutoacna ukajua ni Ally Kiba sasa hivi unamuona mavii khaaa binaadam
hapana hata kama ume base upande mmoja but usische mbachao kwa msala
upitao ndo maana watu wengine maendeleo cyenu yanaishia chalinze kwa
roho mbaya
Aliesema hapo juu huyo team sijui nini ni ukweli mtupu
dunia tunajifunza kutokana
nacexperience saidia ndugu zako bora Ally K ulijionea ukamtoa mdogo wako
maana wengine shukran kushnehi my momma told me they will be things
like this...
[Ushauri wa bure! Saidia ndugu zako kuliko marafiki wa siku hizi waliojaa unafiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni