vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumamosi, 5 Julai 2014

KUHUSU NYIMBO YA KHADIJA NA LINA (MKE MWENZA) HAKUNA DONGO LOLOTE UKWELI HUU HAPA


Msanii anayekuja juu kwenye Game la muziki wa kizazi kipya Tzee Khadja aka Khadja Maumivu ambaye alitambulika vizuri wakati alipotoa nyinbo yake ya ‘Maumivu’ hivi karibuni ameachia joint
ambayo imeleta utata itwayo ‘Mke mwenza’ ambayo kamshirikisha Linah, inasemekana kuwa wamemtupia Dongo Mke wa Amini Mwinyi Mkuu a.k.a Amini ambaye wamefunga ndoa siku si nyingi Mrs Namcy Vanaa wa Kanitangaze. Khadja amesema haya.

”Sikumtupia Dongo mtu yeyote ile nyimbo nimeandikiwa na Nash Designer nika m-Point Linah ashiriki kwani anaweza ku-Cover ile sehemu, ila nashangaa watu wanasema kuwa mimi nimemtupia Dongo mke wa Amini eti Kisa mimi nina ushoga na Linah ila sio kweli”.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni