vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 25 Agosti 2014

HAYA NDIYO YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA FIESTA TANGA

Tanga usiku wa jana yaani August 23 wamepata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Mkwakwani ambapo zaidi ya wasanii 18 walitoa burudani.

Tamasha hilo lilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Tanga Mjini,

Halima Omary Dendego ambaye pia alipata fursa ya kukabidhi zawadi ya shilingi milioni moja kwa washindi wa kudansi. Wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Young Killer, Recho, Roma, Mr Blue, Nay wa Mitego, Stamina, Khadija Maumivu, Madee, Ali Kiba, Ommy Dimpoz, Ya Moto Band, Chege na Temba, Linah,Vanessa Mdee, Edu Booy, K.Star, Mo Music Baikoko pamoja na Jux.

Tazama picha

















































 
Barnaba akifanya yake









 
Blue akifanya show Tanga



 
Ali Kiba akifanya yake



 
 Nay wa Mitego na Stamina















 
Jux akimuuliza mrembo wa Kitanga anataka nini kutoka kwake

 
Jux akiwa amekumbatiana na mrembo wa kitanga

 
Jux akiwa na mrembo wa kitanga

 
Jux alimfunga kitambaa mtoto wa kitanga ili amvue shati







 
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mjini, Halima Omary Dendego akiteta jambo na Mkurugenzi mzalishaji wa vipindi Clouds Media, Ruge Mutahaba
 
Mo Music





 
 Ngoma ya asili Baikoko wakifanya yao

 
Ommy Dimpoz akicheza na mrembo wa Ndagushima









 
Tunda Man



 
 Ya Moto Band wakifanya yao

 
Young Killer akifanya yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni