vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumamosi, 2 Agosti 2014

PICHA ZA SHILOLE AKIWA NA KANGA MOJA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA


Picha za Kimahaba za Mwanamuziki na Nguli wa Bongo movies mrembo Shilole Zimevuja Mtandaoni, Picha hizo zinazoonyesha alikwa ndani ya Kanga Moko Akiwa na Mpenzi wake wa sasa Nuhu Mziwanda...Shilole alipoulizwa kuhusu Picha hizo alisema haya:
Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena Mwezi Mtukufu?
“Unajua simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni