TAZAMA VIDEO MPYA KALI TOKA KWA NAY WA MITEGO..NI SHIDAAA NYINGINE MJINI!
Baada ya kutoka kwa wimbo huu upande wa audio miezi michache iliyopita ameamua kuachia video yake ambayo kaifanya Kenya na Director wa video hii anaitwa Kevin Bosco Jnr. Usisahau kuniachia comment mdau!
Bonyeza play au download hapa chini kuitazama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni