WEMA SEPETU AZIDI KUANDAMWA HUYU NAE AFUNGUNGA YA MOYONI AKIMSEMA WEMA AACHE UJINGA!
Mange na Wema
|
Mange
kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki
Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss
Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya
Diamond kufunguka kuwa Wema ni mpenda starehe na mashoga wapenda anasa
badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.
"Mnajua
siku zote mimi huwa nakuwa upande wa Wema kwenye issue zake na DIAMOND,
Ila leo kwa mara ya kwanza nipo upande wa Shemeji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni