KWA MARA YA KWANZA WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA KUAJIRIWA NA KAJALA, SOMA HAPA
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye[Wema],Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu>>’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
98.6 Clouds Fm inasikika ukiwa Musoma.
Bonyeza play kusikiliza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni