Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisa
wametumwa na mapepo wabaya.
Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.
“Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli. Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni