Diamond Amnunulia Pete na Cheni za Gharama Mpenzi Wake Mpya Zari the Lady Boss
Mapenzi Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado
yanaendelea ku make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya
mkononi Zari the lady boss , Kama picha inavyoonyesha hapo zote ni za
dhahabu pure ila gharama zake hatukuweza kujua kwa haraka ...
Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya ..
Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni