Kiongozi wa Team Wema Afunguka ' Wema Anaye Mpenzi Wake Handsome Boy Fulani na Miakili Tele ila wapo Kiprivate Zaidi'
'Kabari habari zenyu wananchi.kwa watu jana wameni uliza kwanini wema ajamuonesha mpenzi wake na wala ajaonesha wapi walikwenda kwenye valentine day banange kwani ukipiga picha halafu umepozi kama uko kwenye mahaba kwaiyo hapo inamaanisha kuwa mnapenda sana ? just picha aina maana yoyote. Valentine day sio lazima utoke out na mpenzi na vitu fulani una weza kukaa home na unayempenda basi maisha yanakwenda. Haya mapenzi ya mitandao yasiwasumbue akili zenu watu wanatumia pesa nyingi kuonesha wapizani wao kuwa wao wanapenda
Nakumbukeni kuwa wema alisema mwaka huu anataka kujifunza yale makosa yako yote ,wema yupo bussy sana na mambo ya kikazi na biashara kuweni wavumilivu mtaona vitu vyake mwaka huu.Wema Sepetu anaye mupenzi wake handsome bay fulani hivi good looking kichwani miakili tele mpenda maendeleo yaani ni mchapa kazi tulizo la moyo wake wanapenda sana ssa wapo private zaidi sio kujionesha mwisho wa siku mnapata aibu.valentine day just one day tu tena tayari imepita ssa kama ulikuwa unalazima ili uonekane kama unapenda siku kama ya leo unajita kimoyo moyo acheni kuzuzuka siku hiyo say big No to matusi'
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni