Kivazi cha Lulu Instagram Chazua Balaa, Wengi Wasema Amevuka Mipaka
Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee alitupia picha hiyo jana katika akaunti yake ya Instagram ambapo alitupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni