Malick: Sijaona Mwanamke Mrembo Kama Rose Ndauka toka Nimeachana Naye
Akimzungumzia Rose, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini mpaka sasa hajatokea kama yeye.
“Unajua mambo yanapotokea lazima kukubaliana nayo na huwezi kulazimisha. Tangu uhusiano wetu usambaratike, hajatokea kama Rose,” alisema Malick.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni