Mrembo Bongo Movies Atamani Kupata Mtoto..ila Wakumpa Mimba Ndio Shida..Changamkia Dili
Akipiga stori na Mwandishi Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.
“Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba, naona ananipotezea lakini kiukweli nahitaji mtoto wa pili,” alisema Tiko.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni