Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha
iliopigwa jukwaani ili onyesha msaniii chege akiwa amevaaa kitamba cheusi mfano wa HERIZI chege amedai kuwa vitambaa hivyo
walivaa juzi dodoma siku ambayo alifariki msanii mwenzetu marehemu MEZ B
"ushamba + rohombaya + uandishi bila kusomea ni hatari sanaaaaa " in chege voice
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni