Mwimbaji Flora Mbasha Ajifungua Mtoto, Hongera Sana
Habari tulizozipata kupitia mitandaoni ni kuwa Mwanamuziki Flora Mbasha
Amejifungua mtoto , Bado hatujaweza kujua ni mtoto gani, Picha akiwa
Hospitali na zingine zikimuonyesha mtoto hizi Hapa:
Hongera Sana Flora Mbasha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni