NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi
NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan
imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia
mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote
walizochuma pamoja likiwemo gari walilozawadiwa wakati wa harusi yao,
ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha mgogoro huo.
Unahisi kwanini ndoa za vijana wengi wa sasa hazidumu. hakuna upendo wa kweli, tamaa zinasumbua au unahisi nini?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni